#MadeinTanzania

Описание к видео #MadeinTanzania

Shabaha ya #MadeinTanzania siku zote imekua ni kumulika Bidhaa zinazozalishwa kwenye Ardhi mama ya Tanzania #JamhuriYaWapambanaji huku tukiamini kwamba tutachochea watanzania wengi kuamini kwenye Bidhaa za nyumbani, ili kuwaunga mkono wapambanaji wa nyumbani.

Katika video hii #MadeinTanzania tumewaunga mkono wapambanaji wanaotengeneza vifungashio kwa ajili ya bidhaa zinazotumika majumbani Kama unga, mchele na sukari.

Usikose kufuatilia Made in Tz Show katika Clouds TV
Kila Jumatano saa 2:30 Usiku:
Kila Jumapili saa 9:30 Alasiri (Marudio)

SUBSCRIBE CHANNEL HII KUPATA INFOS ZAIDI!!!

Комментарии

Информация по комментариям в разработке