Mt. Don Bosco Kimanga - Ni Shangwe tu (Hongera Kadinali Protase Rugambwa)

Описание к видео Mt. Don Bosco Kimanga - Ni Shangwe tu (Hongera Kadinali Protase Rugambwa)

Kwaya ya Mt. Don Bosco Kimanga inayofuraha kubwa kuungana na wakristo wote wenye mapenzi mema kumpongeza na kumtakia matashi mema Baba Kadinali Protase Rugambwa ambaye aliteuliwa na Papa Francis kuwa Kadinali mnano tarehe 13/04/2023

Kadinali Protase Rugambwa anakuwa Kadinali wa tatu nchini Tanzania akitanguliwa na Mhadhama Polycap Kadinali Pengo na Hayati Kadinali Laurian Rugambwa

Karibu Kusikiliza na Kutazama wimbo huu uitwao NI SHANGWE TU (Hongera Kadinali Protase Rugambwa) uliyoimbwa na Kwaya ya Mt. Don Bosco Kimanga ikiwa ni shime na furaha kubwa katika kumpongeza Kadinali wa tatu Tanzania Baba Kadinali Protase Rugambwa.

Wimbo: NI SHANGWE TU (Hongera kadinali Protase Rugambwa)
Waimbaji: MT. DON BOSCO - KIMANGA
Mtunzi: BARAKA THOMAS MASHIBE
Kinanda: BARAKA THOMAS MASHIBE
Audio & Video: DON BOSCO MEDIA

#Tumshangilie_Baba_Kadinali_Protase_Rugambwa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке