Mt. Don Bosco Kimanga - Twendeni Kawekamo (Official music video)

Описание к видео Mt. Don Bosco Kimanga - Twendeni Kawekamo (Official music video)

Kwaya ya Mt. Don Bosco Kimanga - Dar es salaam, Tanzania imealikwa na jimbo kuu katoliki Mwanza kushiriki Ibada ya Hija Kitaifa katika kituo cha Hija Kawekamo Mwanza, Tanzania

Misa ya ufunguzi itafanyika jumamosi ya tarehe 24-09-2022 ikiongozwa na Mhashamu Askofu Mkuu Renatus Leonard Nkwande

Wimbo huu ni mwaliko maalumu kwa wakristo wote wenye mapenzi mema kutoka majimbo yote ya Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania kushiriki Hija takatifu itakayofanyika Mwanza Kawekamo, Tanzania mwezi wa 9.

MOYO WANGU TULIA KAWEKAMO KUNA UTAKATIFU


The Choir of St. Don Bosco, of Tabata Kimanga - Dar es Salaam, Tanzania has been invited by the Catholic Archdiocese of Mwanza to take part in the National-wide Holy Pilgrimage Service at the Kawekamo Holy Pilgrimage Center in Mwanza, Tanzania.

The inaugural Holy Mass will be celebrated on Saturday 24th September 2022, led by His Grace Archbishop Renatus Leonard Nkwande

This song is a cordial invitation to all Christians with good will from all Dioceses within and outside the borders of Tanzania to participate in the Holy Pilgrimage that will be held in Kawekamo, Mwanza -Tanzania, September this year.

MAY MY HEART REJOICE, FOR THERE IS SANCTITY AT KAWEKAMO

Комментарии

Информация по комментариям в разработке