THE CLASSIC AY PT 1 :SIR NATURE ALINISAIDIA KUPATA NAFAS KWA P FUNK/NINA TUNZO ZAIDI YA 30 /COMPLEX

Описание к видео THE CLASSIC AY PT 1 :SIR NATURE ALINISAIDIA KUPATA NAFAS KWA P FUNK/NINA TUNZO ZAIDI YA 30 /COMPLEX

Masta Ay ni msanii mwenye mafaniko makubwa katika ukanda wa Afrika ya mashariki na kati,ameweza kufanya vzuri katika nchi mbali mbali za Africa,aliweza kutoka na kufanya collabo kubwa kimataifa katika wakati ambao haikua rahisi kuweza kufanikisha,Ay ameshinda awards zaidi ya 30 za ndani na kimataifa,hii ni sehemu ya kwanza ya maongezi yetu kupitia The Classic.

#Ay #efmtanzania #jabirsaleh

Комментарии

Информация по комментариям в разработке