THE CLASSIC P FUNK EP 1:JINA P FUNK/HISTORIA YA BONGO REC/NATURE/AY HAKULIPA/NIDHAMU/SITAKI UJINGA

Описание к видео THE CLASSIC P FUNK EP 1:JINA P FUNK/HISTORIA YA BONGO REC/NATURE/AY HAKULIPA/NIDHAMU/SITAKI UJINGA

P Funk Majani anatajwa kama mtayarishaji bora zaidi kwenye game ya BongoFleva akiwa ameitumikia kwa karibu miongo mitatu sasa ,aliweza kufika katika episode hii ya kwanza kabisa na kupiga stories nyingi kuhusu safari yake ya muziki sambamba na waliomzunguka,katika episode utafahamu mengi ambayo pengine hukua unayafahamu kabisa kuhusu yeye ,karibu na uenjoy huku ukisubiria episode ya pili inayotarajiwa kufanyika vivi karibuni

#pfunk #majani #bongoflava #bongorecords #theclassic

Комментарии

Информация по комментариям в разработке