SIMBA vs AHLY TRIPOL: MBINU ZA USHINDI NYUMBANI | KUNA VITU VINNE (4) VYA KUZINGATIA.

Описание к видео SIMBA vs AHLY TRIPOL: MBINU ZA USHINDI NYUMBANI | KUNA VITU VINNE (4) VYA KUZINGATIA.

#SimbaVSAlAhlyTripol #ShirikishoAfrika #KochaFadlu
Habari njema ni kwamba kile kitabu Ulichokisubiri kwa muda mrefu sasa kiko sokoni; SANAA YA KUSHAMBULIA KWA KUSHTUKIZA;

Ni kitabu cha kwanza cha soccerdata ambacho kimesheheni kila Ufundi; na ukikisoma Utakuwa Umeujua mchezo wa mpira katika jicho lingine; jicho ambalo sio kila mtu analo.

Kitabu hiki kiko katika Mfumo wa Soft Copy na Kwa sasa kinapatikana kwa bei ya Ofa kwa Shilingi Elfu 10 pekee;

Lipia leo upate kitabu chako papo hapo;
Tigo Pesa - 0710 679 388;
Halopesa - 0627 532 401
Airtel Money - 0684 096 285
JINA: SEKWAO MWENDI.

Ukimaliza Kulipia tuma Ujumbe kwa namba yako ya Whatsapp Upate kitabu chako

Комментарии

Информация по комментариям в разработке