Mamelodi Sundowns 2-0 Wydad Athletic Club | Highlights | Fainali AFL (2nd leg) - 12/11/2023

Описание к видео Mamelodi Sundowns 2-0 Wydad Athletic Club | Highlights | Fainali AFL (2nd leg) - 12/11/2023

Tazama mambo yalivyokuwa wakati Mamelodi Sundowns ikiichapa Wydad Athletic Club magoli 2-0 kwenye mchezo wa mkondo wa pili wa fainali ya African Football League.

Magoli yamefungwa na Peter Shalulile na Aubrey Modiba

Комментарии

Информация по комментариям в разработке