Diamond Platnumz, Sheria Ngowi waichambua jezi mpya ya Yanga (Kipindi Maalum)

Описание к видео Diamond Platnumz, Sheria Ngowi waichambua jezi mpya ya Yanga (Kipindi Maalum)

Yanga SC leo imezindua 'uzi' wake mpya utakaotumika katima msimu wa 2024/25.

Msanii wa bongo fleva, Diamond Platumz amekuwa miongoni mwa watu wa kwanza kabisa kuitinga jezi hiyo na hapa ni katika mahojiano maalum na Ally Kamwe kuhusu jezi hiyo....

Naye mbunifu wa jezi hiyo, Sheria Ngowi ameichambua na kufafanua maana ya kila kinachoonekana kwenye jezi hiyo....

Комментарии

Информация по комментариям в разработке