Zogo Mchongo S2EP4 (Sehemu ya 1): Eti ni kweli Ali Kamwe na Ahmed Ally haziivi!

Описание к видео Zogo Mchongo S2EP4 (Sehemu ya 1): Eti ni kweli Ali Kamwe na Ahmed Ally haziivi!

Soka la Tanzania limekuwa ni ushabiki tu, vipi kuhusu uchumi na kuongeza thamani kwenye vilabu na kwa mashabiki?

Kwenye Episode hii ya nne ya Zogo Mchongo tutakuwa na wasemaji mashuhuri kutoka timu kubwa za mpira nchini, Ali Kamwe kutoka Yanga na Ahmed Ally kutoka Simba. Kupitia wao tutajua mbivu na mbichi kuhusu maisha yao binafsi, kazi zao na anga la soka la bongo, lakini pia tutapata ufumbuzi kutoka Benki ya CRDB juu njia ya vilabu kunufaika na mashabiki pia kunufaika

Usikose kutazama Zogo Mchongo kila siku ya Jumanne saa 3:00 Usiku kupitia Clouds TV na marudio ni kila Jumatano saa 8:30 mchana na Jumamosi saa 9:00 mchana na hapa hapa kwenye chaneli yetu ya YouTube.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке