SIMULIZI YA KUSISIMUA: JAMAA ALIPATA DEMU MAKABURINI USIKU.

Описание к видео SIMULIZI YA KUSISIMUA: JAMAA ALIPATA DEMU MAKABURINI USIKU.

Kwa jina naitwa Hassan; Hassan Rahim. Ni mzaliwa wa Kijiji cha Lutindi kilichopo Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga. Maisha ya utoto pamoja na elimu ya msingi, nilivipata huko na hata ukubwa wangu kiasi niliujua nikiwa bado Lutindi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке