PART 2: AGIZO la MAGUFULI kwa MFANYABIASHARA BABU RAMA wa KARIAKOO MWENYE MGOGORO na TRA....

Описание к видео PART 2: AGIZO la MAGUFULI kwa MFANYABIASHARA BABU RAMA wa KARIAKOO MWENYE MGOGORO na TRA....

PART 2: AGIZO la MAGUFULI kwa MFANYABIASHARA BABU RAMA wa KARIAKOO MWENYE MGOGORO na TRA....


GLOBAL TV imefunga safari mpaka eneo la biashara la Kariakoo na kufika dukani kwa mfanyabiashara maarufu eneo hilo anayetambulika zaidi kwa jina la RAMADHAN HAMISSI NTUNZWE, au Babu Rama, ambaye mwaka 2016 aliingia katika mgogoro na mamlaka ya mapato nchini (TRA) ambao ulishatolewa maamuzi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kwa mara ya kwanza na baadae Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli nae akaingilia kati na kutoa maamuzi ya mwisho kuwa alipwe fidia, lakini agizo hilo Ramadhani amedai halijatelekezwa hadi leo....


UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
( +255 784 888982)

( +255 739 750910)

Email: [email protected]
[email protected]


HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews


Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

Комментарии

Информация по комментариям в разработке