Ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua mchungaji wa kanisa la KKKT

Описание к видео Ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua mchungaji wa kanisa la KKKT

Mahakama ya hakimu mkazi Iringa yenye mamlaka ya nyongeza imemhukumu Naftari Lulandala kifungo cha kunyongwa hadi kufa baada ya kumkuta na hatia ya kumuua aiyekuwa mchungaji wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri KKKT Dayosisi ya Iringa marehemuElizabeth Ng’ unga

Комментарии

Информация по комментариям в разработке