DUA KWA MANJI | Zamunda asimulia namna Manji alivyozikwa

Описание к видео DUA KWA MANJI | Zamunda asimulia namna Manji alivyozikwa

DUA KWA MANJI: Msikie rafiki wa karibu wa marehemu Yusuf Manji, Rahim Kangezi ‘Zamunda’ akisimulia namna mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti na Mfadhili wa Yanga SC, Yusuf Manji yalivyokuwa huko nchini Marekeni.

Imefanyika dua kwa ajili ya Yusuf Manji aliyefariki Juni 30 ,2024 katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam.

#Dua #MaishaYaManji #YusufManji

Комментарии

Информация по комментариям в разработке