CHEKECHE | Kwa nini Marekani na Urusi wavutane juu ya Ukraine?

Описание к видео CHEKECHE | Kwa nini Marekani na Urusi wavutane juu ya Ukraine?

Ukraine imekuwa kwenye vinywa vya mijadala ya siasa za kimataifa kutokana na mzozo kati ya Marekani na Urusi.

Nini kiini cha mzozo huo? Na je kuna nafasi ya mafahari wawili kumaliza tofauti zao juu ya Ukraine?

Комментарии

Информация по комментариям в разработке