Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??.

  • Dr. Mwanyika
  • 2022-01-12
  • 182271
JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??.
  • ok logo

Скачать JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??. бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??. или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??. бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??.

Fangasi za Ukeni kwa Wanawake huwa ni Ugonjwa ambao unawapata kwa kiasi kikubwa (40%) haswa baada ya kubarehe hadi kipindi cha ukomo wa wanawake kushika ujauzito(Miaka 12 – 45).

Fangasi za Ukeni huweza kuathiri haswa akina Mama Wajawazito kwa (10% – 75%), Akina Mama/Dada wanatumia Dawa za kuua vijidudu kiholela, Watumiaji wa Dawa za kupunguza kinga mfano; Corticosteroid na Dawa za kutibu Saratani mbalimbali na wenye Upungufu wa Kinga kutokana na Magonjwa kama Kisukari au HIV/AIDS na nk.

JE NI KWA NINI AKINA MAMA WAJAWAZITO HUPATA ZAIDI (10% – 75%) FANGASI UKENI?
Sababu zinazopelekea Mama mjamzito kuwa kwenye hatari ya kupata fangusi ukeni ni kama zifuatazo!

1. Ongezeko kubwa la homoni za Progesterone na Estrogen wakati wa ujauzito,hususani homoni ya estrogen ambayo husababisha ongezeko la glycogen na hii hufanya ongezeko la ukuaji wa Fangasi hawa kwa kasi kubwa japokuwa pia estrogen hupelekea ongezeko la wadudu walinzi akina Candida Albicans!

2. Unapokuwa mjamzito kinga yako ya mwili huwa chini na hivyo hupelekea kuharibiwa kwa msawazo kati ya ulinzi wa maeneo ya ukeni na Fangasi aina ya Candida Albican ambapo endapo wadudu walinzi aina ya Lactobacilli wakipungua hupelekea ukuaji mkubwa wa Fangasi na kupelekea dalili za ugonjwa wa Fangasi!

3. Endapo Mama mjamzito anatabia ya kutumia dawa za kuua vidudu mfano wadudu wanaosababisha ugonjwa wa UTI au Magonjwa ya zinaa kiholela au kwa muda mrefu hupelekea kuharibiwa kwa msawazo kati ya ulinzi wa maeneo ya ukeni na Fangasi aina ya Candida Albicans ambapo endapo wadudu walinzi aina ya Lactobacilli wakipungua hupelekea ukuaji mkubwa wa Fangasi na kupelekea dalili za ugonjwa wa Fangasi!

DALILI ZA FANGASI ZA UKENI.

1. Kutokwa na uchafu ukeni au kuwepo kwa uchafu huo kwenye kuta za uke na kwenye mashavu ya uke, ambao hufanana na maziwa yaliyoganda au wakati mwingine huwa kama maziwa yaliyo chacha na pia hautoi halufu yoyote kali!

2. Kupata miwasho ukeni.
Kutokana na ongezeko la fangasi kwa Mama Mjamzito atakuwa anapata dalili za kuwashwa mara kwa mara ukeni.

3. Uke kubadilika rangi na kuwa rangi nyekundu zaidi.

4. Maumivu ya kuchoma choma, Mama mjamzito kuhisi kama vitu vinachoma choma!

5. Kujisikia vibaya wakati wa tendo la ndoa na kupata maumivu wakati wa kukojoa!

Jizuie au Punguza Dalili za Ugonjwa wa Fangasi Ukeni kwa kufanya mambo haya!

1. Hakikisha unakuwa msafi fua nguo za ndani Mara kwa Mara na anika nguo hizo juani!

2. Usiingize vidole kwenye uke kwa ajili ya kupunguza miwasho kwa kufanya hivyo utaongeza uwezekano wa kupata vijidudu ambao wanasababisha magonjwa mengine!

3. Epuka kutumia dawa za kuua vijidudu mfano wa UTI au Magonjwa ya zinaa kiholela bila ithini ya Daktari!

4. Matumizi ya Dawa za kupaka au kuweka Ukeni mfano: Clotrimazole pessaries, Miconazole cream na nk, Kumbuka usitumie Dawa za kunywa za fangasi katika kipindi cha Ujauzito kwa sababu huweza kuathiri Mimba yako mfano; Fluconazole

Mjamzito unaweza kutumia Dawa hizi kwa kuweka Ukeni na hutakiwi kutumia Dawa za kunywa katika kipindi cha Ujauzito.

Nifuatilie kwenye channel yangu kuhusu Mambo ya Ujauzito.
   / drmwanyika  

Nifuatilie Instagram kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
  / dr._mwanyika  

Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://mamaafya.com/

Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
  / japideafya  

Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://play.google.com/store/apps/de...


#UchafuMweupeUkeni
#DrMwanyika
#MamaAfya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • Dalili za Mimba ya Mtoto wa kiume / Je kuna ukweli katika dalili hizi za mtoto wa kiume tumboni????
    Dalili za Mimba ya Mtoto wa kiume / Je kuna ukweli katika dalili hizi za mtoto wa kiume tumboni????
    5 лет назад
  • MEMKWA SCHOOL [EP 14]
    MEMKWA SCHOOL [EP 14]
    2 часа назад
  • НАКОНЕЦ ОН ПРИЗНАЛСЯ, ЧТО СПРЯТАЛ ГУЛЮ ПОД ЗЕМЛЕЙ.НА КЛАДБИЩЕ ДОМАШНИХ ЖИВОТНЫХ.
    НАКОНЕЦ ОН ПРИЗНАЛСЯ, ЧТО СПРЯТАЛ ГУЛЮ ПОД ЗЕМЛЕЙ.НА КЛАДБИЩЕ ДОМАШНИХ ЖИВОТНЫХ.
    1 день назад
  • MJ:IL:S01:E03: ‘Nilishauriwa ninywe majani chai ili niavye mimba,’ – Caroline Chagaya
    MJ:IL:S01:E03: ‘Nilishauriwa ninywe majani chai ili niavye mimba,’ – Caroline Chagaya
    6 лет назад
  • Взрыв в Казахстане / Армия перешла границу
    Взрыв в Казахстане / Армия перешла границу
    4 часа назад
  • Эвакуация в Москве. Ракеты бьют по всей России. Чубайс просит снять санкции. Запрет Telegram| ВОЗДУХ
    Эвакуация в Москве. Ракеты бьют по всей России. Чубайс просит снять санкции. Запрет Telegram| ВОЗДУХ
    4 часа назад
  • Je Mtoto Kufariki Tumboni Mwa Mjamzito Husababishwa NA Nini? | Visababishi Vya Mtoto Kufia Tumboni!
    Je Mtoto Kufariki Tumboni Mwa Mjamzito Husababishwa NA Nini? | Visababishi Vya Mtoto Kufia Tumboni!
    2 года назад
  • Je Kuna Umuhimu wa kushiriki Tendo la Ndoa Mjamzito?|Athari na Tahadhari zake kwa Mjamzito
    Je Kuna Umuhimu wa kushiriki Tendo la Ndoa Mjamzito?|Athari na Tahadhari zake kwa Mjamzito
    4 года назад
  • СОЛНЦЕВ:
    СОЛНЦЕВ: "Не матушка". Почему замолчала Кабаева, скандал с Ириной Винер, куда исчез Стас Михайлов
    4 часа назад
  • Удар США по Кремлю / Резкая реакция Москвы
    Удар США по Кремлю / Резкая реакция Москвы
    17 часов назад
  • Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?
    Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?
    4 года назад
  • BINTI YANGU Full episode [ 113 ] #love
    BINTI YANGU Full episode [ 113 ] #love
    6 часов назад
  • Je Kujinyoosha Kwa Mama Mjamzito Kuna Madhara Gani?? (Madhara Ya Kujinyoosha Sana Kwa Mjamzito)!!!!
    Je Kujinyoosha Kwa Mama Mjamzito Kuna Madhara Gani?? (Madhara Ya Kujinyoosha Sana Kwa Mjamzito)!!!!
    3 года назад
  • Je Mtoto Kucheza Miezi 3 ya mwanzoni mwa Ujauzito ni kawaida? {Mtoto kucheza miezi 3 ya mwanzo}!?.
    Je Mtoto Kucheza Miezi 3 ya mwanzoni mwa Ujauzito ni kawaida? {Mtoto kucheza miezi 3 ya mwanzo}!?.
    3 года назад
  • Ukiona Dalili hizi jua unakaribia Jifungua,Jiandae - Dr Baiya Kissiwa
    Ukiona Dalili hizi jua unakaribia Jifungua,Jiandae - Dr Baiya Kissiwa
    4 месяца назад
  • Подготовка к мобилизации? Мир? В России заблокируют Telegram, почему именно сейчас
    Подготовка к мобилизации? Мир? В России заблокируют Telegram, почему именно сейчас
    2 часа назад
  • Путин в тупике. Кремль спрятал годовщину войны. Студентов забирают на фронт
    Путин в тупике. Кремль спрятал годовщину войны. Студентов забирают на фронт
    Трансляция закончилась 1 час назад
  • Matunda hatari kwa Mama Mjamzito! | Mjamzito tumia Matunda haya kwa tahadhari kubwa!!!
    Matunda hatari kwa Mama Mjamzito! | Mjamzito tumia Matunda haya kwa tahadhari kubwa!!!
    5 лет назад
  • Dalili za Mimba Changa ya Wiki Moja! | Dalili 30 za Mimba Changa, Mimba ya Wiki 1 hadi Mwezi 1.
    Dalili za Mimba Changa ya Wiki Moja! | Dalili 30 za Mimba Changa, Mimba ya Wiki 1 hadi Mwezi 1.
    4 года назад
  • Прилет по Курской области | Арестован известный пропагандист | Сорокина запретили | Итоги дня
    Прилет по Курской области | Арестован известный пропагандист | Сорокина запретили | Итоги дня
    2 часа назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com