Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?

  • Dr. Mwanyika
  • 2021-12-31
  • 234648
Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?
  • ok logo

Скачать Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi? бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi? или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi? бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?

Endapo umefikisha Miezi Mitatu ya Mwishoni mwa Ujauzito yaani Wiki 28 Hadi Wiki 36, kipindi ambacho bado Mtoto hajakomaa vizuri na Uchungu Halisia kuanza Baadhi ya Wajawazito hupata Dalili mbalimbali za Mwanzoni za Kujifungua au Uchungu, Wengi wao hudhani kuwa ni Uchungu wa kweli kumbe ni viashiria vya Uchungu ambao utakuja kutokea mbeleni Baada ya Muda fulani.

Dalili za Mwanzoni za Kujifungua huweza kujitokeza Miezi Mitatu ya Mwishoni mwa Ujauzito na hutofautiana kati ya Mama mmoja na mwingine vile vile na Endapo ni Mimba ya kwanza au Mimba zinazofuatia.

Mwanamke ambaye Ujauzito wake wa Kwanza Mara nyingi wao huanza kuhisi Dalili za Kujifungua mapema zaidi inawezekana Wiki 2 hadi 4 kabla ya Dalili za Uchungu Halisia kutokea hii huwa tofauti na Mwanamke ambaye anabeba Mimba ya Pili, Ya Tatu na Nk ambapo Hawa huweza kupata Dalili hizi siku kadhaa kabla ya Uchungu halisia au Dalili za Uchungu Halisia kutokea na Kujifungua rasmi Watoto wao.

Kwa Kawaida Uchungu Halisia au Uchungu wa Kweli hutokea Kati ya Wiki 37 hadi 42 kipindi ambacho Mtoto anakuwa amekomaa vizuri na anaweza Kuishi Duniani.

Zifuatazo ni Dalili za Mwanzoni za Kujifungua au Dalili za Mwanzoni za Uchungu.

1. Maumivu ya Mgongo na Kiuno Wakati fulani.
Wajawazito wengi hupata Maumivu haya kutokana na Ongezeko la Homoni ya Relaxin ambayo hulegeza Nyonga kwa ajili ya kuhakikisha kuwa Mtoto anaweza kupita kwenye Nyonga, wakati Mwingine hii Homoni huweza kuathiri Jointi na Ligamenti za Mwili mzima na Mjamzito hupata Maumivu Jointi nyingine za Mwili wake.

2. Mtoto Kushuka (Lightening).
Kuanzia Wiki ya 32 Mara nyingi Mtoto hushuka kwenda kwenye Nyonga tayari kwa ajili ya Kuzaliwa na Kutoka Duniani.

3. Kukojoa Mara kwa Mara.
Baada ya Mtoto Kushuka Mjamzito huanza kupata Dalili za Kukojoa Mara kwa Mara, Ni kwa sababu Kibofu Cha Mkojo hugandamizwa na sehemu ya Mtoto ambayo iko Chini kwenye Nyonga ya Mjamzito na kubanwa kwa Kibofu Kati ya sehemu hiyo ya Mtoto na Mfupa wa Kinena.

4. Kuchoka Mara kwa Mara na Kukosa Usingizi.
Maumivu katika kipindi cha Mwishoni mwa Ujauzito na Kukojoa Mara kwa Mara hii hupelekea Mjamzito kukosa Usingizi wa kutosha hivyo Muda mwingi huwa na Uchovu wa Mara kwa Mara.

5. Uzito kutoongezeka.
Kwa kawaida Mjamzito huongezeka Uzito wa Wastani wa 1kg katika kila Mwezi mmoja katika Kipindi cha Ujauzito lakini inapofika Mwishoni mwa Ujauzito Uzito huwa hauongezeki na wakati mwingine inawezekana kabisa Uzito hupungua ndio maana ni vema inapofikisha Wiki 42 ujifungue na hutakiwi kuzidisha Wiki 43 za Ujauzito.

6. Kuharisha.
Baadhi ya Wajawazito hupata Dalili ya Kuharisha hii ni Kutokana na Ongezeko la Homoni za Prostaglandins ambazo hupelekea Mfuko wa Uzazi kujikunja na kuweza kutoa Mtoto Wakati wa Kujifungua lakini pia huweza kupelekea Ongezeko kubwa la mjongeo wa Utumbo Mdogo hivyo huweza kupelekea Dalili za Kuharisha kwa Mjamzito.
Hutofautiana kati ya Mjamzito moja na mwingine.

7. Maumivu ya Kubana na Kuachia.
Maumivu ya kubana na kuachia hutokea katika kipindi chote Cha Ujauzito, Lakini endapo Maumivu hayo hayana Mpangilio maalumu basi huwa ni Dalili za Mwanzoni za Kujifungua tofauti na Uchungu Kamili ambapo Maumivu huongezeka kadiri Muda unavyoenda na huwa na Mpangilio maalumu.

8. Mtoto kupunguza kucheza.
Kwa kawaida Wajawazito huanza kuhisi Mtoto kucheza kuanzia Wiki ya 20 kwenda juu na Mtoto huongezeka kucheza kadiri umri wa Mimba unavyoongezeka na kufikia Wiki ya 32 Mtoto hucheza zaidi baada ya hapo Mtoto hupunguza Kucheza kwa sababu anakuwa ameshuka kwenye Nyonga tayari kwa ajili ya Kutoka na Kuzaliwa.

MUHIMU:
Endapo Mtoto amepunguza kucheza unatakiwa kwenda hospitali kwa ajili ya kujihakikishia kuwa hana shida nyingine.

Nifuatilie kwenye channel yangu kuhusu Mambo ya Ujauzito.
   / drmwanyika  

Nifuatilie Instagram kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
  / dr._mwanyika  

Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://mamaafya.com/

Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
  / japideafya  

Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://play.google.com/store/apps/de...


#DaliliZaKujifungua
#DrMwanyika
#MamaAfya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • Je Dalili za Uchungu wa Mwisho kwa Mjamzito ni zipi?? {Dalili 7 za Uchungu wa kweli kwa Mjamzito}.
    Je Dalili za Uchungu wa Mwisho kwa Mjamzito ni zipi?? {Dalili 7 za Uchungu wa kweli kwa Mjamzito}.
    3 года назад
  • Dalili za uchungu kwa Mjamzito | Ni zipi dalili za uchungu kwa Mama Mjamzito??
    Dalili za uchungu kwa Mjamzito | Ni zipi dalili za uchungu kwa Mama Mjamzito??
    5 лет назад
  • Surah Maryam (Mary) | This Voice Will TOUCH Your HEART إن شاء الله | Zikrullah TV
    Surah Maryam (Mary) | This Voice Will TOUCH Your HEART إن شاء الله | Zikrullah TV
    1 год назад
  • Dalili za uchungu kwa MWANAMKE Mjamzito anayekaribia kujifungua
    Dalili za uchungu kwa MWANAMKE Mjamzito anayekaribia kujifungua
    5 лет назад
  • Ukiona Dalili hizi jua unakaribia Jifungua,Jiandae - Dr Baiya Kissiwa
    Ukiona Dalili hizi jua unakaribia Jifungua,Jiandae - Dr Baiya Kissiwa
    4 месяца назад
  • MAOMBI YA WAJAWAZITO by Innocent Morris
    MAOMBI YA WAJAWAZITO by Innocent Morris
    4 года назад
  • Dalili hizi za uchungu zikitokea Mama huyu atajifungua muda si mrefu
    Dalili hizi za uchungu zikitokea Mama huyu atajifungua muda si mrefu
    5 лет назад
  • Je Dalili Za Mimba Ya Wiki 36/ Miezi 9 ni Zipi? ( Dalili 12 Mimba Ya Wiki 36)!
    Je Dalili Za Mimba Ya Wiki 36/ Miezi 9 ni Zipi? ( Dalili 12 Mimba Ya Wiki 36)!
    3 года назад
  • Je Kuna Umuhimu wa kushiriki Tendo la Ndoa Mjamzito?|Athari na Tahadhari zake kwa Mjamzito
    Je Kuna Umuhimu wa kushiriki Tendo la Ndoa Mjamzito?|Athari na Tahadhari zake kwa Mjamzito
    4 года назад
  • Je Dalili ZA Uchungu WA Uongo Kwa Mjamzito NA Sababu Zake NI Zipi? | Uchungu Usiohalisia!
    Je Dalili ZA Uchungu WA Uongo Kwa Mjamzito NA Sababu Zake NI Zipi? | Uchungu Usiohalisia!
    1 год назад
  • Je Zipi Dalili ZA Mlango WA Uzazi Kufunguka Kipindi Cha Uchungu Kwa Mjamzito? | Kipindi Cha Mimba!
    Je Zipi Dalili ZA Mlango WA Uzazi Kufunguka Kipindi Cha Uchungu Kwa Mjamzito? | Kipindi Cha Mimba!
    1 год назад
  • SABABU KUCHELEWA KUJIFUNGUA MAMA MJAMZITO | REASONS FOR DELAYED DELIVERY OF PREGNANT MOTHERS
    SABABU KUCHELEWA KUJIFUNGUA MAMA MJAMZITO | REASONS FOR DELAYED DELIVERY OF PREGNANT MOTHERS
    3 года назад
  • Je  Uchungu Kuanzishwa Kwa Mjamzito Huhitaji Vigezo Gani? (Sababu 11 za Kuanzishiwa Uchungu)!!
    Je Uchungu Kuanzishwa Kwa Mjamzito Huhitaji Vigezo Gani? (Sababu 11 za Kuanzishiwa Uchungu)!!
    2 года назад
  • Wiki Ya 40 Hakuna Uchungu Fanya Mambo Haya!! | Mimba Ya Wiki 40 AU Zaidi!
    Wiki Ya 40 Hakuna Uchungu Fanya Mambo Haya!! | Mimba Ya Wiki 40 AU Zaidi!
    10 месяцев назад
  • Je Dalili ZA Mtoto Tumboni Kushuka Kwenye Nyonga Zipi?? | Dalili 11 ZA Mtoto Kushuka Kwa Mjamzito!
    Je Dalili ZA Mtoto Tumboni Kushuka Kwenye Nyonga Zipi?? | Dalili 11 ZA Mtoto Kushuka Kwa Mjamzito!
    1 год назад
  • JE UMECHELEWA KUJIFUNGUA KWA SABABU GANI? | SABABU GANI HUPELEKEA KUCHELEWA KUJIFUNGUA KWA MJAMZITO?
    JE UMECHELEWA KUJIFUNGUA KWA SABABU GANI? | SABABU GANI HUPELEKEA KUCHELEWA KUJIFUNGUA KWA MJAMZITO?
    3 года назад
  • JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??.
    JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??.
    4 года назад
  • JINSI YA KUHESABU SIKU YA KUJIFUNGUA MJAMZITO
    JINSI YA KUHESABU SIKU YA KUJIFUNGUA MJAMZITO
    5 лет назад
  • Je Dalili ZA Mimba Ya Wiki 31 AU Miezi 7 NA Wiki 3 Zipi? | Dalili ZA Miezi 3 Ya Mwishoni!!
    Je Dalili ZA Mimba Ya Wiki 31 AU Miezi 7 NA Wiki 3 Zipi? | Dalili ZA Miezi 3 Ya Mwishoni!!
    1 год назад
  • Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito)
    Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito)
    2 года назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com