Utengenezaji wa sabuni za magadi Kigoma.

Описание к видео Utengenezaji wa sabuni za magadi Kigoma.

Vijana mjini kigoma wanajikwamua kiuchumi kwa kutengeneza sababuni za magadi ambazo wanaziuza ndani na nje ya nchi
Mwandishi wa BBC Hamphrey Mgonja aliwatembelea na kuzungumza nao.
🎥 @eagansalla_gifted_sounds_

#bbcswahili #tanzania #kigoma

Комментарии

Информация по комментариям в разработке