Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Je unaweza kupata Hedhi ktk Ujauzito? | Je Kwa nini unatokwa na Damu Ukeni ktk kipindi cha Ujauzito?

  • Dr. Mwanyika
  • 2021-11-07
  • 71836
Je unaweza kupata Hedhi ktk Ujauzito? | Je Kwa nini unatokwa na Damu Ukeni ktk kipindi cha Ujauzito?
  • ok logo

Скачать Je unaweza kupata Hedhi ktk Ujauzito? | Je Kwa nini unatokwa na Damu Ukeni ktk kipindi cha Ujauzito? бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Je unaweza kupata Hedhi ktk Ujauzito? | Je Kwa nini unatokwa na Damu Ukeni ktk kipindi cha Ujauzito? или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Je unaweza kupata Hedhi ktk Ujauzito? | Je Kwa nini unatokwa na Damu Ukeni ktk kipindi cha Ujauzito? бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Je unaweza kupata Hedhi ktk Ujauzito? | Je Kwa nini unatokwa na Damu Ukeni ktk kipindi cha Ujauzito?

Je ni kweli kwamba unaweza kupata Hedhi katika kipindi cha Ujauzito?

Hapana!
Ukweli ni kwamba mara baada ya kupata Ujauzito au Mimba huwezi kupata Hedhi, Baadhi ya Wajawazito hususani wale ambao hupata Mimba kwa Mara ya Kwanza (Prime gravida) huweza kuchanganya wanapotokwa na Damu mwanzoni mwa Ujauzito na Hedhi yao!

Tafiti zinaonesha kwamba asilimia 10 mpaka 15 ya Wajawazito huweza kupata Dalili za kutokwa na Damu katika Ujauzito wao hususani Mimba inapokuwa chini ya wiki 16 au chini ya Miezi 4 ya Ujauzito.

Kutokwa na Damu katika kipindi cha Ujauzito huweza kuhatarisha Mimba yako na matokeo yafuatayo mfano;

1. Mimba Kutoka au kuharibika na hivyo kutojifungua Mtoto wako.

2. Kujifungua Mtoto kabla ya wakati.

3. Kujifungua Mtoto mwenye Uzito wa chini zaidi.

4. Kupungukiwa Damu ktk kipindi cha Ujauzito au hata baada ya kujifungua au Mimba yako kuharibika.

MAMBO YANAYOPELEKEA MJAMZITO KUTOKWA NA DAMU.

1.Mimba kutishia kutoka au kuharibika kabla ya kujifungua!

2. Kondo la Nyuma linapojishikiza kwenye Mji wa Uzazi huweza kupelekea kutokwa Damu katika kipindi Cha Ujauzito hususani mwanzoni mwa Ujauzito ambapo hutokea katika siku zile zile ambazo Hedhi ya kawaida ingetokea japokuwa huwa kunakuwa na utofauti na Hedhi ya kawaida Damu hutoka kidogo na kwa siku chache na badae hukata yenyewe.

3. Mimba kutunga nje ya Mji wa Uzazi huweza kupelekea kutokwa na Damu ktk cha kipindi Cha Ujauzito (Arias Stella Reaction) hususani mwanzoni mwa Ujauzito chini ya wiki 12 za Ujauzito kutoka na Upungufu au uzalishwaji mdogo wa Homoni ya Progesterone ukilinganisha na Mimba ya kawaida.

4. Mimba Zabibu, Mimba Zabibu kwa kawaida huwa lazima iharibike au itoke baada ya muda fulani wa Ujauzito hususani mwanzoni mwa Ujauzito (Chini ya wiki 16) hivyo huwesa kupelekea kutokwa na Damu katika kipindi cha Ujauzito.

5. Sababu zisizo Julikana, kuna baadhi ya Wajawazito hutokwa na Damu bila kuwa na sababu zinazojulikana au zinazopelekea kutokwa Damu katika kipindi cha Ujauzito.


KUMBUKA: Asilimia nyingi ya Wanawake wanaotokwa na Damu katika kipindi cha Ujauzito hujifungua Salama Watoto wao.

Nifuatilie kwenye channel yangu kuhusu Mambo ya Ujauzito.
   / drmwanyika  

Nifuatilie Instagram kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
  / dr._mwanyika  

Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://mamaafya.com/

Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
  / japideafya  

Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://play.google.com/store/apps/de...
©Dr.Mwanyika

#drmwanyika
#mamaafya
HedhiKtkUjauzito

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • Je Kutokwa Damu Ukeni Kwa Mjamzito Ni Muhimu Duphaston?? (Matumizi ya Duphaston Kwa Mjamzito)!.
    Je Kutokwa Damu Ukeni Kwa Mjamzito Ni Muhimu Duphaston?? (Matumizi ya Duphaston Kwa Mjamzito)!.
    3 года назад
  • Why bleeding in pregnancy? (Sababu ya kutokwa na damu kipindi cha ujauzito?)
    Why bleeding in pregnancy? (Sababu ya kutokwa na damu kipindi cha ujauzito?)
    4 года назад
  • Dalili za Mimba Changa ya Wiki Moja! | Dalili 30 za Mimba Changa, Mimba ya Wiki 1 hadi Mwezi 1.
    Dalili za Mimba Changa ya Wiki Moja! | Dalili 30 za Mimba Changa, Mimba ya Wiki 1 hadi Mwezi 1.
    4 года назад
  • Jinsia ya Mtoto kulingana na Siku uliyofanya Tendo la Ndoa ktk mzunguko wa Hedhi yako!
    Jinsia ya Mtoto kulingana na Siku uliyofanya Tendo la Ndoa ktk mzunguko wa Hedhi yako!
    4 года назад
  • Mambo 10 yanayoweza kusaidia Shika Mimba Haraka na Kwa njia ya Asili
    Mambo 10 yanayoweza kusaidia Shika Mimba Haraka na Kwa njia ya Asili
    8 месяцев назад
  • Siri za Kupata Mimba Ukiwa na Hedhi Inayobadilika badilika!
    Siri za Kupata Mimba Ukiwa na Hedhi Inayobadilika badilika!
    4 месяца назад
  • Dalili za Mimba changa. Zifahamu dalili 10 za uhakika za #mimba changa
    Dalili za Mimba changa. Zifahamu dalili 10 za uhakika za #mimba changa
    5 месяцев назад
  • Je Dalili Na Suluhisho La Mimba Kutishia Kuharibika ni Lipi? (Dalili Za Mimba inayoharibika).
    Je Dalili Na Suluhisho La Mimba Kutishia Kuharibika ni Lipi? (Dalili Za Mimba inayoharibika).
    3 года назад
  • Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito)
    Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito)
    2 года назад
  • Je Kipimo Cha Mimba Mstari Moja Kufifia Ni Mjamzito kweli au Lah? (Mstari Miwili Moja Kufifia)!!?
    Je Kipimo Cha Mimba Mstari Moja Kufifia Ni Mjamzito kweli au Lah? (Mstari Miwili Moja Kufifia)!!?
    3 года назад
  • Mjamzito Mwenyewe Sifa Hizi Bed Rest Inakuhusu Ktk Ujauzito Wako!!!
    Mjamzito Mwenyewe Sifa Hizi Bed Rest Inakuhusu Ktk Ujauzito Wako!!!
    1 год назад
  • Je Unaweza Kupata Mimba Kabla Ya Hedhi Kama Utafanya Mapenzi? {Siku 1, 2, 3, 4 au 5 Kabla Ya Hedhi}.
    Je Unaweza Kupata Mimba Kabla Ya Hedhi Kama Utafanya Mapenzi? {Siku 1, 2, 3, 4 au 5 Kabla Ya Hedhi}.
    1 год назад
  • KUTOKWA DAMU UKENI KIPINDI CHA UJAUZITO | ANTEPARTUM HEAMORRHAGE
    KUTOKWA DAMU UKENI KIPINDI CHA UJAUZITO | ANTEPARTUM HEAMORRHAGE
    2 года назад
  • Ukiwa na DALILI hizi 10, fahamu kuwa wewe ni MJAMZITO tayari | Bonge la Afya
    Ukiwa na DALILI hizi 10, fahamu kuwa wewe ni MJAMZITO tayari | Bonge la Afya
    5 лет назад
  • Je Dalili za Mimba na Kipimo Cha Mimba huacha kuonesha una Mimba lini? | Baada ya Mimba kuharibika?.
    Je Dalili za Mimba na Kipimo Cha Mimba huacha kuonesha una Mimba lini? | Baada ya Mimba kuharibika?.
    4 года назад
  • Kutokwa na damu ukeni ukiwa na Mimba changa (Sababu zinazopelekea Kutokwa Damu Mwanzoni mwa Mimba??
    Kutokwa na damu ukeni ukiwa na Mimba changa (Sababu zinazopelekea Kutokwa Damu Mwanzoni mwa Mimba??
    5 лет назад
  • Je Unaweza Kupata Mimba Wakati WA Hedhi Kama Utafanya Mapenzi? {Kipindi Cha Hedhi}
    Je Unaweza Kupata Mimba Wakati WA Hedhi Kama Utafanya Mapenzi? {Kipindi Cha Hedhi}
    1 год назад
  • JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??.
    JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??.
    4 года назад
  • JE UNAWEZA KUPATA MIMBA MARA TU BAADA YA HEDHI KAMA UTAFANYA MAPENZI? {SIKU 1, 2, 3 BAADA YA HEDHI}.
    JE UNAWEZA KUPATA MIMBA MARA TU BAADA YA HEDHI KAMA UTAFANYA MAPENZI? {SIKU 1, 2, 3 BAADA YA HEDHI}.
    3 года назад
  • Je ni mambo gani ya msingi ya kufanya mara baada ya Mimba kuharibika au kutoka????
    Je ni mambo gani ya msingi ya kufanya mara baada ya Mimba kuharibika au kutoka????
    5 лет назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com