Biubwa Mwanamke mwanamapinduzi Zanzibar

Описание к видео Biubwa Mwanamke mwanamapinduzi Zanzibar

Biubwa Amour Zahor Mwanamke mwanamapinduzi aliyeshiriki kikamilifu mapunduzi ya Zanzibar anasema licha ya madhila aliyoyapitia, anajivunia yote aliyoyafanya kwa taifa lake

Eagan Salla akiwa visiwani Zanzibar alimtembelea nyumbani kwake mji mkongwe kisiwani unguja na hii ni taarifa yake.

#bbcswahili #tanzania #zanzibar

Комментарии

Информация по комментариям в разработке