(Official video) PENDO LA DHATI -Accendo Tz

Описание к видео (Official video) PENDO LA DHATI -Accendo Tz

God is always patient and kind, showing us His constant love. The work of Jesus, His son, revealed that He was sent to earth where love, mercy and pity were shown in every act of His life.
By sinning, human beings became subjects of Satan. But through faith in Christ and His death, they may become God's children.
By taking human nature, Christ places sinners where, through connection with Him they may become worthy of the name "children of God".
There is no other love like His. Children of heavenly King! Precious promise! How wonderful to think about the great love of God for the world that did not love Him.

Mungu ni mvumilivu na mwema, akidhihirisha upendo wake usiobadilika. Matendo ya Yesu mwanae yalionesha wazi; upendo, rehema na huruma vilionekana kwake.
Baada ya dhambi mwanadamu akawa mtumwa wa shetani. Lakini kupitia imani katika kristo na kifo chake msalabani, huweza kubadilishwa na kuitwa "watoto wa Mungu".
Hakuna upendo mwingine kama wake. Watoto wa mfalme wa mbingu! Ahadi ya thamani. Ni ajabu kiasi gani kuufikiri upendo mkuu wa Mungu kwa ulimwengu ambao haukumpenda.

Video production: JOJAMAX MEDIA
Audio production: BWANGA
Vocals: Accendo tz

Special thanks: Mr & Mrs Kefa Masige

Комментарии

Информация по комментариям в разработке