HIVI NILIVYO-Accendo Tz (With Lyrics)

Описание к видео HIVI NILIVYO-Accendo Tz (With Lyrics)

"Ulifikiri habari zilizopita katika maisha yako, nyakati za furaha na huzuni, na kuna wakati ulimwita BWANA katika shida yako naye akajibu, naam kwa neema akakuweka panapo nafasi.
Ukidumu kumtumaini atakufundisha na kukuonesha njia utakayoiendea na utakapotazama nyuma utauona mkono wake"

Barikiwa na wimbo huu

Produced and mixed by BWANGA (BJBrands)

Комментарии

Информация по комментариям в разработке