Hali ilivyo Soko la Kariakoo, baadhi ya wafanyabiashara wakifungua maduka baada ya kugoma siku tatu

Описание к видео Hali ilivyo Soko la Kariakoo, baadhi ya wafanyabiashara wakifungua maduka baada ya kugoma siku tatu

Leo Mwananchi Digital imetembelea maeneo ya Kariakoo ambapo hadi leo saa 3:40 asubuhi Juni 27, 2024 baadhi ya wafanyabiashara walikuwa wamefungua maduka na wengine hawajafungua.
Mgomo wa wafanyabiashara ulioanza Juni 24, 2024 wakipinga kodi mbalimbali zinazotolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), hadi jana ulikuwa umesambaa katika mikoa saba.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке