Abubakar Bakhresa ataja kisa cha kuanzishwa kwa Azam TV

Описание к видео Abubakar Bakhresa ataja kisa cha kuanzishwa kwa Azam TV

MIAKA 10 YA AZAM TV: "Tulianza kama mzaha mzaha hivi" - Kauli ya Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Media LTD, Abubakar Bakhresa akieleza chimbuko la kuzaliwa kwa kituo bora cha televisheni Afrika Mashariki na Kati chenye kubeba nembo ya #AzamTV

#AzamTV10Damdam #AzamTVDaimaDamdam #AzamMedia #BakhresaGroup

Комментарии

Информация по комментариям в разработке