BARAKA MAGUFULI AMVUNJA MBAVU WAZIRI MKUU,AWAITA WABUNGE

Описание к видео BARAKA MAGUFULI AMVUNJA MBAVU WAZIRI MKUU,AWAITA WABUNGE

BARAKA MAGUFULI AMVUNJA MBAVU WAZIRI MKUU,AWAITA WABUNGE

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa amewataka watumishi wote wa Serikali kuwahudumia wananchi badala ya kukaa maofisini sanjari na kutoa maagizo kwa Viongozi wa Serikali wasio waadilifu kwa wananchi kuchukuliwa hatua.

Hayo ameyazungumza leo Sept 26 wakati alipofanya ziara yake ya kikazi Wilayani Mufindi katika Hosipitali ya Wilaya iliyopo Igowole ambapo amepongeza ujenzi wa hosipitali hiyo na kuwataka viongozi kufanya kazi kwa ueledi.

Katika hatua nyingine Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mhandisi wa maji Mufindi kuhakikisha anapeleka maji katika hosipitali ya Wilaya ya Mufindi kwani hajaridhishwa na utendaji kazi wa mhandisi huyo

(HABARI MPYA DAILY)

https://www.youtube.com/playlist?list...

(HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA)

https://www.youtube.com/playlist?list...

(GLOBAL RADIO TV)

https://www.youtube.com/playlist?list...

(EXCLUSIVE INTERVIEWS)

https://www.youtube.com/playlist?list...

Комментарии

Информация по комментариям в разработке