Rais Magufuli Mgeni Rasmi Katika Mashindano ya 20 ya Quran Dar Es Salaam

Описание к видео Rais Magufuli Mgeni Rasmi Katika Mashindano ya 20 ya Quran Dar Es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza watendaji wa Serikali kusimamia na kuhakikisha wafanyabiashara hawapandishi bei katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке