AWESO AMUWEKA KIKAANGONI MENEJA DAWASA, AMUHOJI 'WANANCHI WANAKOSA MAJI, MNAPOKEA MISHAHARA'

Описание к видео AWESO AMUWEKA KIKAANGONI MENEJA DAWASA, AMUHOJI 'WANANCHI WANAKOSA MAJI, MNAPOKEA MISHAHARA'

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso leo tar. 04 Julai 2024 amefika Wilaya ya Kigamboni mkoani Dar Es Salaam kutembelea na kukagua Mradi Mkubwa wa Maji katika Miundombinu ya Tenki la Maji lita mil.15.
Waziri Aweso anaendelea na ziara ya kikazi mkoa wa Dar Es Salaam.

Waziri Aweso amemtaka Meneja wa DAWASA Kigamboni kufanya kazi kwa bidii na kuboresha utendaji kazi wake na kuahidi kufanya mabadiliko makubwa wilaya ya Kigamboni kwani halizishwi na utendaji kazi wa eneo hilo.

Katika hatua nyingine Mhe Aweso amekutana na Watumishi wa mkoa wa DAWASA - Kigamboni ambapo amewasisitiza watumishi kufanya kazi kwa bidii na kudumisha umoja ili kuleta maendeleo katika mkoa wa Dar es Salaam.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке