JIFUNZE KUACHILIA WATU - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Описание к видео JIFUNZE KUACHILIA WATU - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Kuna vitu vikubwa Mungu ameviweka ndani yako lakini unashangaa kuwa watu waliokuzunguka hawavioni,na hii wakati mwingine inakuumiza sana unapojua kuwa una uwezo mkubwa sana ndani yako wa kufanya vitu fulani lakini hakuna anayethamini.
Mungu anapoweka ukuu ndani yako huwa anakuwa ameandaa na watu watakaouona,na watu hao watakushika mkono na kukusogeza pale ambapo Mungu amekusudia ufike.
Kuna watu wakiweza kuona kitu kikubwa Mungu alichoweka ndani yako watatafuta kukiua,kwahiyo unapoona hawakioni mshukuru Mungu na uendelee kuomba kionekane mbele ya watu sahihi na kwa wakati sahihi.#PastorSunbella#Kuachilia#Watu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке