JINSI YA KUVUKA VIZUIZI ULIVYOWEKEWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Описание к видео JINSI YA KUVUKA VIZUIZI ULIVYOWEKEWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Sio mara zote shetani hufanya kazi ndani ya mtu, kuna wakati humuweka kwenye eneo fulani. Mtu anaweza kuwa na bidii sana kwenye maisha yake lakini hata akijitahidi vipi hapigi hatua, hii ni kwa sababu kuna eneo ambalo unafanya kazi ukiwa hapo(chini ya madhabahu za giza. Ndio maana Mungu anapokuja kumfungua mtu huhusika sana na madhabahu zinazomshikilia.
Gideon alikuwa anafanya kazi kwa bidii lakini akiwa chini ya madhabahu ya Ofra, hata Mungu anapotuma malaika wake na kumwambia Gideon kuwa ni shujaa bado Gideon haoni,anachoona yeye ni changamoto wanazopitia na sio ukuu uliopo ndani yake, na ndio maana ndani yako unajua kabisa kuwa una uwezo fulani lakini hata ukiweka bidii vipi bado husogei.
Mungu akufungue na akuvushe.#PastorSunbella#Tambua#Kinachokukwamisha

Комментарии

Информация по комментариям в разработке