ZITTO KABWE AIBUKA wa MOTO - AJILIPUA - "CCM WANAJIFUNZA KUNG-FU - WANATAKA WAMPIGE NANI?"...

Описание к видео ZITTO KABWE AIBUKA wa MOTO - AJILIPUA - "CCM WANAJIFUNZA KUNG-FU - WANATAKA WAMPIGE NANI?"...

ZITTO KABWE AIBUKA wa MOTO - AJILIPUA - "CCM WANAJIFUNZA KUNG-FU - WANATAKA WAMPIGE NANI?"...


Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametilia shaka mwenendo wa chama cha CCM kutoa mafunzo ya karate na kung-fu kwa vijana wa chama hicho kwani kufanya hivyo ni kinyume na sheria.

Zitto amesema hayo wakati akizungumza katika mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika katika kata ya Mpepai, jimbo la Mbinga mjini mkoani Ruvuma, Septemba 11, 2024.

Alisema hayo baada ya diwani wa chama cha ACT Wazalendo, Donatus Mbepera kudai chama cha CCM kinageuza vyumba vya madarasa kuwa makambi ya kutoa mafunzo ya mapigano kwa vijana wake katika jimbo la Mbinga mjini.

💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 https://chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...

============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Комментарии

Информация по комментариям в разработке