TUNDA MAN - Full Interview na Bongo Project

Описание к видео TUNDA MAN - Full Interview na Bongo Project

Tunda Man au Khalid Ramadhan Tunda katika haya mazungumzo marefu na ya kufurahisha anasimulia juu ya safari yake nzima ya muziki na maisha. Anaelezea kuhusu maisha yake ya shule, ndoto za udaktari, utundu, kucheza mpira n.k. Anasimulia kuhusu ngoma zake za awali ikiwemo Neila, Demu Sio, Msambinungwa, Nipe Report na nyingine nyingi alizofanya na Tip Top Connection kama Bado Tunapanda na nyingine nyingi. Pia ameelezea mahusiano yake na wasanii maarufu wa Bongo akiwemo Profesa Jay, Ali Kiba na Diamond Platnumz. Ni mazungumzo mazuri na yenye visa vya kuchekesha...Usikose!

#tundaman #bongoproject #bongofleva #tiptopconnection #


Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.

--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org

--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram:   / bongo_project  

Facebook:   / bongo-project-102566415873260  

--------------------
CONTACT
--------------------
Email: [email protected]

Комментарии

Информация по комментариям в разработке