Mbowe Afunguka Mazito Utekaji, Mauaji Viongozi CHADEMA "Ninawaambiaje Hizi Familia Kila Siku"

Описание к видео Mbowe Afunguka Mazito Utekaji, Mauaji Viongozi CHADEMA "Ninawaambiaje Hizi Familia Kila Siku"

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe akizungumza msibani kwa Alli Kibao jijini Tanga, ameeleza kwa uchungu masikitiko yake juu ya hali inayoendelea ya viongozi na wanachama wa CHADEMA kuendelea kutekwa na kuawa, kitendo ambacho anasema kinampa wakati mgumu kuzieleza familia za viongozi na wanachama wake.

Mbowe amemtaka Rais Samia kuunda Tume ya Kijaji ya Mahakama kuchunguza visa vyote hivi kwa kuwa hawana imani na vyombo vya dola kwa madai ya kuwa ni washtukiwa namba moja kutokana na uchunguzi wao.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке