Enock Jonas - Acha ni Vimbe (official Video)

Описание к видео Enock Jonas - Acha ni Vimbe (official Video)

Yapo mambo mengi ambayo Yesu ametutendea kwenye maisha yetu lakini tunakuwa na roho ya uzito kuweza kushuhudia mbele za watu,
kupitia wimbo huu ukafanyike baraka kwenye maisha yako na kushuhudia mambo makuu uliyotendewa na Yesu bila hofu wala woga ili Jina la Yesu Kristo lipate kutukuzwa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке