ALAIGWANANI OLESUMUNI ATUNUKIWA TUNZO MTI-MMOJA.

Описание к видео ALAIGWANANI OLESUMUNI ATUNUKIWA TUNZO MTI-MMOJA.

Viongozi wa mila maarufu kama Malaigwanani ndani ya jamii ya kimaasai  wametakiwa kudumisha Amani na Upendo ndani ya jamii hiyo.

Hayo yamesemwa na Daniel porokwa aliyekuwa katibu wa waziri mkuu mstaafu Edward lowassa katika sherehe maalum ya kustafishwa kwa Alaigwanani Leboi Olesumuni ambaye amehudumu katika nafasi hiyo tangu mwaka 1999 hadi 2024 kijiji cha Mti mmoja kata ya Sepeko.

Sambamba na hayo Viongozi hao wametakiwa Kuwa Na ofisi Ili waweze kutunza kumbukumbu , Na kudumisha Amani na kuacha Mgawanyiko katika jamii.

Ikumbukwe kuwa Alaigwanani Leboy Olesumuni Ameamua kustaafu mwenyewe ili Viongozi wengine Wapate nafasi ya kuhudumu katika jamii kwa Nafasi hiyo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке