Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Je kwa nini Chupa hupasuka kabla ya Uchungu kuanza? | Chupa kupasuka kwa Mjamzito kabla ya Uchungu!!

  • Dr. Mwanyika
  • 2021-05-09
  • 22938
Je kwa nini Chupa hupasuka kabla ya Uchungu kuanza? | Chupa kupasuka kwa Mjamzito kabla ya Uchungu!!
  • ok logo

Скачать Je kwa nini Chupa hupasuka kabla ya Uchungu kuanza? | Chupa kupasuka kwa Mjamzito kabla ya Uchungu!! бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Je kwa nini Chupa hupasuka kabla ya Uchungu kuanza? | Chupa kupasuka kwa Mjamzito kabla ya Uchungu!! или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Je kwa nini Chupa hupasuka kabla ya Uchungu kuanza? | Chupa kupasuka kwa Mjamzito kabla ya Uchungu!! бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Je kwa nini Chupa hupasuka kabla ya Uchungu kuanza? | Chupa kupasuka kwa Mjamzito kabla ya Uchungu!!

Kwa nini kwa baadhi ya Wajawazito Chupa hupasuka kabla ya Uchungu kuweza kuanza?

Kuna Baadhi ya Wajawazito Chupa hupasuka kabla ya Uchungu kutoka na sababu mbalimbali, kabla hatujaona sababu zinazopelekea. Kuna aina Mbili kuu za Chupa kupasuka ambazo Ni;

1. Chupa kupasuka kabla ya Mimba yako kukomaa ambapo umri wa Mimba unakuwa wiki 28 hadi wiki 36 na siku 6 kwa nchi zetu zinazoendelea Kama Tanzania, Lakini inaweza kuwa wiki 24 mpaka wiki 36 na siku 6 kwa nchi zilizoendelea.
Kwa hivyo Chupa kupasuka chini ya wiki 37.

2. Chupa kupasuka kuanzia wiki 37 kwenda juu mpaka wiki 42, ingawa Chupa inapasuka zaidi ya saa 1 kabla ya Uchungu kuanza.


Mambo yanayoweza kupelekea Chupa kuweza kupasuka ni Kama;

1. Magonjwa au Maambukizi ya via vya uzazi.
Mfano magonjwa kama Kisonono, Magonjwa ya mfumo wa Mkojo/UTI na nk.

2. Kuongezeka kwa Udhaifu wa Kuta zinazo mzunguka Mtoto kwenye mfuko wa Uzazi.

3. Utapia mlo kwa Mjamzito hususani Wajawazito wenye BMI chini 18.5kg/M².

4. Shida za kurithi kutoka kizazi kimoja hadi kwa sababu ya hitilafu katika vinasaba vinavyounda Protini inayotumika kutengeneza kuta zinazo Mzunguka Mtoto.

5. Mjamzito kuwa na Maji mengi kwenye mfuko wa Uzazi kutokana na Sababu mbalimbali.

6. Mjamzito mwenye Mimba ya Mapacha.

7. Mjamzito ambaye amejifungua Mara nyingi zaidi mfano kuanzia Watoto 5 na kuendelea

8. Sababu zisizo julikana.

Dalili za Chupa kupasuka ni Kama;

Kutokwa na Maji mengi masafi ghafla au taratibu taratibu Kama matone, ni vema kuweza kuonana na watalaamu wa Afya ili kuweza kutofautisha Na Hali ya mama kujikuta amekojoa bila yeye kuweza kutambua hususani kwa baadhi ya Wajawazito kwenye Miezi mitatu ya mwisho ya Ujauzito au Maji maji ambayo huwa kama ute fulani hutoka kutoka na hali ya Ujauzito.


Matibabu hutofautiana Kati ya Mama Mjamzito Moja na Mwingine hivyo ni vema kuwahi hospital ili kupewa huduma za kiafya!

#DrMwanyika
#MamaAfya
#ChupaKupasuka

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • Je Kutoka Maji Ukeni Kwa Mjamzito Huashiria Nini?? {Kutokwa Maji Ukeni Chupa imepasuka Kwa Mjamzito}
    Je Kutoka Maji Ukeni Kwa Mjamzito Huashiria Nini?? {Kutokwa Maji Ukeni Chupa imepasuka Kwa Mjamzito}
    3 года назад
  • MEMKWA SCHOOL [EP 14]
    MEMKWA SCHOOL [EP 14]
    10 часов назад
  • Образовательный контент: от оплодотворения до родов | 3D-медицинская анимация | от Dandelion Team
    Образовательный контент: от оплодотворения до родов | 3D-медицинская анимация | от Dandelion Team
    3 года назад
  • SABABU KUCHELEWA KUJIFUNGUA MAMA MJAMZITO | REASONS FOR DELAYED DELIVERY OF PREGNANT MOTHERS
    SABABU KUCHELEWA KUJIFUNGUA MAMA MJAMZITO | REASONS FOR DELAYED DELIVERY OF PREGNANT MOTHERS
    3 года назад
  • Je Dalili ZA Uchungu WA Uongo Kwa Mjamzito NA Sababu Zake NI Zipi? | Uchungu Usiohalisia!
    Je Dalili ZA Uchungu WA Uongo Kwa Mjamzito NA Sababu Zake NI Zipi? | Uchungu Usiohalisia!
    1 год назад
  • MFUMO WA UZAZI-MAOMBI YA MAANDALIZI YA KUJIFUNGUA NA YA SIKU YA KUJIFUNGUA.
    MFUMO WA UZAZI-MAOMBI YA MAANDALIZI YA KUJIFUNGUA NA YA SIKU YA KUJIFUNGUA.
    5 лет назад
  • Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?
    Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?
    4 года назад
  • Поместите один элемент под орхидею! Внезапно вырастает 100 ветвей и цветёт круглый год.
    Поместите один элемент под орхидею! Внезапно вырастает 100 ветвей и цветёт круглый год.
    2 месяца назад
  • Je Dalili za Uchungu wa Mwisho kwa Mjamzito ni zipi?? {Dalili 7 za Uchungu wa kweli kwa Mjamzito}.
    Je Dalili za Uchungu wa Mwisho kwa Mjamzito ni zipi?? {Dalili 7 za Uchungu wa kweli kwa Mjamzito}.
    3 года назад
  • Dalili za mimba za miezi Saba / Miezi Ya Saba(7).!
    Dalili za mimba za miezi Saba / Miezi Ya Saba(7).!
    5 лет назад
  • Je Dalili Za Mimba Ya Wiki 36/ Miezi 9 ni Zipi? ( Dalili 12 Mimba Ya Wiki 36)!
    Je Dalili Za Mimba Ya Wiki 36/ Miezi 9 ni Zipi? ( Dalili 12 Mimba Ya Wiki 36)!
    3 года назад
  • Je Maumivu Ya Kiuno Kwa Mjamzito Miezi 3 Ya Mwishoni Hutokana NA Nini? (Wiki 28 - 32, 33 NA 35)!
    Je Maumivu Ya Kiuno Kwa Mjamzito Miezi 3 Ya Mwishoni Hutokana NA Nini? (Wiki 28 - 32, 33 NA 35)!
    3 года назад
  • Dalili za uchungu kwa Mjamzito | Ni zipi dalili za uchungu kwa Mama Mjamzito??
    Dalili za uchungu kwa Mjamzito | Ni zipi dalili za uchungu kwa Mama Mjamzito??
    5 лет назад
  • Je Unywaji Vinywaji Baridi/Barafu Kwa Mjamzito Huwa Na Madhara Gani? ( Maji/Juisi baridi au Barafu)
    Je Unywaji Vinywaji Baridi/Barafu Kwa Mjamzito Huwa Na Madhara Gani? ( Maji/Juisi baridi au Barafu)
    2 года назад
  • Je  Uchungu Kuanzishwa Kwa Mjamzito Huhitaji Vigezo Gani? (Sababu 11 za Kuanzishiwa Uchungu)!!
    Je Uchungu Kuanzishwa Kwa Mjamzito Huhitaji Vigezo Gani? (Sababu 11 za Kuanzishiwa Uchungu)!!
    2 года назад
  • JE MAUMIVU UKENI KWA MJAMZITO HUTOKANA NA NINI?? | JINSI YA KUPUNGUZA MAUMIVU UKENI KTK UJAUZITO!!
    JE MAUMIVU UKENI KWA MJAMZITO HUTOKANA NA NINI?? | JINSI YA KUPUNGUZA MAUMIVU UKENI KTK UJAUZITO!!
    3 года назад
  • Mama mjamzito anaweza kujifungua kuanzia wiki ya ngapi??. Uchungu wa kawaida huanza lini??
    Mama mjamzito anaweza kujifungua kuanzia wiki ya ngapi??. Uchungu wa kawaida huanza lini??
    5 лет назад
  • Je Dalili Na Suluhisho La Mimba Kutishia Kuharibika ni Lipi? (Dalili Za Mimba inayoharibika).
    Je Dalili Na Suluhisho La Mimba Kutishia Kuharibika ni Lipi? (Dalili Za Mimba inayoharibika).
    3 года назад
  • Kikao cha ndoa kimeingiliwa | KOMBOLELA SE02 EP 189
    Kikao cha ndoa kimeingiliwa | KOMBOLELA SE02 EP 189
    4 дня назад
  • НОВОСТИ: Студентов призывают на войну. Ракетная опасность в регионах РФ. Пакистан ударил по Кабулу
    НОВОСТИ: Студентов призывают на войну. Ракетная опасность в регионах РФ. Пакистан ударил по Кабулу
    8 часов назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com