IBADA MAALUM YA KUFUNGUA MWAKA: NAMNA YA KURIDHIWA NA BWANA

Описание к видео IBADA MAALUM YA KUFUNGUA MWAKA: NAMNA YA KURIDHIWA NA BWANA

BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada njema, ya kipekee ya KUFUNGUA MWAKA 2024 inayokujia leo Jumapili ya tarehe 07 Januari 2024 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.

Ibada hii ina kichwa cha somo, "NAMNA YA KURIDHIWA NA BWANA NA KUTEMBEA NA KIBALI KISICHOZUILIKA" na kuongozwa na mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке