MKESHA WA MCHANA: KILA KITU/MTU ALIYEIBA UCHUMI WANGU , ANAURUDISHA MARA SABA ZAIDI

Описание к видео MKESHA WA MCHANA: KILA KITU/MTU ALIYEIBA UCHUMI WANGU , ANAURUDISHA MARA SABA ZAIDI

BWANA YESU asifiwe,tunamshukuru sana MUNGU kwa kutufikisha Disemba ya mwaka 2023, MWAKA WA KUFANYA MAMBO MAKUBWA KWA KASI KUBWA. Karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika mkesha wetu maalum wa mchana wenye kichwa cha somo KILA KITU/MTU ALIYEIBA UCHUMI WANGU , ANAURUDISHA MARA SABA ZAIDI unaokujia leo siku ya Jumamosi tarehe 16 Disemba 2023 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.

Mkesha na Ibada hii inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке