NINA MIAKA 21 UBELGIJI | KUNA FURSA NYINGI SANA | WAZUNGU WAMEWACHOKA WAGENI KWENYE NCHI YAO

Описание к видео NINA MIAKA 21 UBELGIJI | KUNA FURSA NYINGI SANA | WAZUNGU WAMEWACHOKA WAGENI KWENYE NCHI YAO

Maisha Ya Ulaya ameeleza safari yake kutoka Tanzania mpaka Belgium
Ameenda Belgium akiwa na umri mdogo
Amesoma na kukulia Belgium, amefanya kazi na serikali za Uhamiaji na hivyo anatoa msaada wa kutoa elimu ya fursa nchini Belgium

Subscribe her YouTube channel ‪@MaishaYaUlaya‬

Thank you Maisha ya Ulaya for allowing this to be online

www.oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке