"LOLOO LELEEE KANYABOYA MLIPOKUWA MNAFUA MIMI NDO NAANIKA KITAMBULISHA LAZIMA" MWANRI

Описание к видео "LOLOO LELEEE KANYABOYA MLIPOKUWA MNAFUA MIMI NDO NAANIKA KITAMBULISHA LAZIMA" MWANRI

Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amekutana na akizungumza na wafanyabiashara wadogo wilayani Kaliua na amewataka kuwabeza wanaopotosha maana ya kitambulisho cha mjasiliamali na amewaomba kuhakikisha wanachukua vitambulisho kabla ya tarehe 20 Juni tofauti na hapo zoezi litabadilika na kutozwa kodi na mamlaka ya Mapato nchini TRA

"huna kitambilisho sahau habari ya biashara yako na ukichukua kitambulisho hiki utakuwa umechangia gharama za kukitengeneza ili tupambanue sasa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке