RC WA "FYEKELEA MBALI: "NYOOSHA MKONO JIFANYE UNAJIKUNA"

Описание к видео RC WA "FYEKELEA MBALI: "NYOOSHA MKONO JIFANYE UNAJIKUNA"

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Agrey Mwanri leo alitembelea upanuzi wa kituo cha afya cha Igurubi kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Igunga anakotoka Msanii Shilole kuangalia umefikia wapi ujenzi huo na fedha zilizotolewa na Serikali zinatumikaje.

RC Mwanri alianza kwa kukagua matofali yaliyotumika kujengea kama ni imara lakini pia aliingia mwenyewe kuwa injinia kwa muda kupima kama vipimo vilivyotumika kujengea majengo hayo manne ni vyenyewe au wamebadilisha vipimo vilivyotolewa na TAMISEMI.

AyoTV imekuletea tukio zima lilivyokuwa wakati anakagua majengo hayo lakini hajaanza kuleta msemo mpya ukiacha ule wa fyekelea mbalii na mengine mpya karibu kutazama

Комментарии

Информация по комментариям в разработке