jinsi ya kupika katlesi za samaki tamu sana na rahisi |farwats kitchen |

Описание к видео jinsi ya kupika katlesi za samaki tamu sana na rahisi |farwats kitchen |

MAHITAJI
▪️Samaki nusu kilo(mchemshe na chumvi na saumu mpka alainike)
▪️Viazi kilo moja unusu (chemsha pamoja na chumvi uviponde ponde)
▪️Kitunguu maji 1
▪️Pilipili boga 1 kubwa
▪️Dania 1
▪️Carrot 1
▪️pilipili manga kijiko kidogo nusu
▪️Mdalasini kijiko kidogo nusu
▪️Bizari nyembamba kijiko kidogo nusu
▪️Chumvi kiadi
▪️Ndimu/limau
▪️Mayai 2 ya kuchomea
▪️Mafuta ya kupikia kiasi ya kuchomea

Mitandao ya kijamii
Instagram @farwats_kitchen
Email: [email protected]

Комментарии

Информация по комментариям в разработке