MUME WANGU | MCHEPUKO ALIGOMA KUACHWA, KOSA MOJA LIKAVURUGA MAISHA

Описание к видео MUME WANGU | MCHEPUKO ALIGOMA KUACHWA, KOSA MOJA LIKAVURUGA MAISHA

Usaliti katika mahusiano limekuwa ni jambo la kawaida
sana nyakati hizi. Kila uchao wanandoa pamoja na wapenzi
wamekuwa wakisalitiana katika mahusiano yao pasipo kujali
maumivu ya hisia zao.
Tamaa ya pesa na tamaa ya mwili ndivyo vimekuwa
vyanzo vikubwa kwa wanandoa kutokuwa waaminifu
kwenye mahusiano yao. Pesa na tamaa ya uzinzi vimekuwa
vikiyavuruga na kuyabomoa kabisa mahusiano mengi.
Na katika mbomoko huo wa mahusiano tumeshuhudia
athari mbalimbali katika familia zilizo nyingi kama vile
talaka, vifo, watoto kubaki yatima mara baada ya wazazi wao
kukumbwa na mauti yaliyosababishwa na usaliti, watoto
kukosa malezi ya upande mmoja na kadhalika. UNGANA NAMI LUCAS LUMBASI KWENYE SIMULIZI HII.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке