Watu wawili wauliwa mjini Eldoret katika kaunti ya Uasin Gishu

Описание к видео Watu wawili wauliwa mjini Eldoret katika kaunti ya Uasin Gishu

Watu wawili wameuwawa mjini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu katika visa viwili tofauti. Mmoja ya waliouliwa alikuwa mwanafunzi ambapo alidungwa kisu shingoni eneo la Kimumu huku mwathiriwa wa pili akiuliwa kwa kudungwa kisu mara 13 katika mtaa wa Macharia

Комментарии

Информация по комментариям в разработке