"Mnawezaje kuwafundishia wanafunzi vitabu vyenye makosa?" - Doto Biteko

Описание к видео "Mnawezaje kuwafundishia wanafunzi vitabu vyenye makosa?" - Doto Biteko

Mbunge wa Bukombe Doto Biteko amehoji ndani ya Bunge sababu ya Serikali kuendelea kukaa kimya baada ya kubainika kuwa kuna baadhi ya vitabu vilivyotolewa kwenye shule nchini wakati vikiwa na mapungufu ya kitaaluma.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке