Jinsi ya Kutengeneza Maandazi/ Mahamri Laini ya iliki | How to Make soft Maandazi

Описание к видео Jinsi ya Kutengeneza Maandazi/ Mahamri Laini ya iliki | How to Make soft Maandazi

Jinsi ya Kutengeneza Maandazi/ Mahamri Laini ya iliki | How to Make soft Maandazi

Bofa hapa kutazama mapishi ya chapati laini:    • Jinsi ya kupika chapati laini za kusu...  

MAHITAJI:

Vikombe vinne vya unga
kijiko kimoja cha chai iliki
kikombe robo tatu ya sukari
kijiko moja kubwa ya blueband
kijiko kimoja kubwa ya hamira
kikombe moja na robo tatu ya maziwa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке