VISHETI / VIKOKOTO | Mapishi rahisi ya visheti | Jinsi ya kupika visheti | How to make visheti

Описание к видео VISHETI / VIKOKOTO | Mapishi rahisi ya visheti | Jinsi ya kupika visheti | How to make visheti

Habari zenu, leo ninawafundisha jinsi gani unaweza kutengeneza visheti nyumbani kirahisi

Mahitaji:
Vikombe 3 unga
1/2 kjk kidogo baking powder
1/2 kikombe siagi iliyoyeyushwa
1/4 kjk kidogo hiliki iliyosagwa
Maji

Shira:
Kikombe kasoro sukari
Kikombe kasoro maji

Ingredients:
3 cups flour
1/2 tsp baking powder
1/2 cup melted butter
1/4 tsp cardamom powder
water

Sugar syrup:
3/4 cup sugar
3/4 cup water

Комментарии

Информация по комментариям в разработке