Jinsi Ya Kutengeneza Vikokoto Kwa Biashara/ Mapishi Rahisi Ya Vikokoto

Описание к видео Jinsi Ya Kutengeneza Vikokoto Kwa Biashara/ Mapishi Rahisi Ya Vikokoto

Music: Lovely Piece
Musician: DaFox
URL: https://pixabay.com/music/-lovely-pie...






Vivi Delicious vikokoto


Mahitaji

1:Unga wa ngano kg 1

2:Sukari vijiko vya chakula au punguza kama hupendi sukari nyingi

3:Mafuta vijiko 3 -5 vya chakula



4:chumvi kijiko cha chakula

5:Baking powder kijiko 1 cha chakula ( usijaze sana)
6:Maji baridi kikombe cha nusu (Hutumii yote)

Vivi Delicious vikokoto


Hatua

1:Weka vitu vikavu katika chombo unga ,iliki ,chumvi,Baking powder,sukari changanya vyema
2:Weka Mafuta moto changanya vizuri ichanganyikane vyema

3:Anza kuweka maji kidogokidogo changanya vizuri unga uchanganyikane vizuri
4:Donge lako liwe gumu
5:kisha funika na liache likae sawa kwa dk 5
6:Baada ya hapo utasukuma na kukata shape uzipandazo
7:Choma katika mafuta mengi zikiwa brown zitoe
Vikokoto vinatakiwe viwe vigumu
8:Bidhaa yako tayari kwenda sokoni


Mikono Yako Kiwanda Chako Jiajiri Anza leo

Cont 0629216326

[email protected]



#biashara #kashata #karanga #cakerecipe #food #recipe #biashara #cakerecipe #cakerecipe #kashata #cooking #karanga #snacks #biashara #mafanikio#Ujuzi#life#Hatua#batiki#handmade

Комментарии

Информация по комментариям в разработке