Idris Sultan asimulia alivyoishiwa kabisa 'msaidizi wangu alidhani ningejiua'

Описание к видео Idris Sultan asimulia alivyoishiwa kabisa 'msaidizi wangu alidhani ningejiua'

Idris Sultan anasimulia jinsi ambavyo alitoka kuwa mmiliki wa zaidi ya shilingi milioni 500 hadi kuishiwa kiasi cha kushindwa kulipia bili ya umeme na gharama zingine na hadi kwenda kuomba hifadhi kwa mtu ili aishi kwa muda

Комментарии

Информация по комментариям в разработке