JINSI YA KUANZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI

Описание к видео JINSI YA KUANZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI

jinsi ya kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji

Mafanikio kwenye ufugaji wa kuku hayaji kama chafya, zipo hatua mbalimbali ambazo zipaswa kufatwa ili kufanikiwa kwenye ufugaji wa kuku.

Hatua hizi ni 🐓👇
1. Elimu bora ya ufugaji wa kuku
2. Utafiti na uchaguzi wa aina gani ya kuku ufuge
3. Ujenzi wa banda bora la kuku
4. Kusafisha banda na kwaajili ya kupokea vifaranga
5. Kupokea vifaranga na kuanza kuvilea

Комментарии

Информация по комментариям в разработке