Kutana na Elisalia Swai, Mfugaji wa samaki sato, jinsi anavyo endesha, mradi wake kisasa.

Описание к видео Kutana na Elisalia Swai, Mfugaji wa samaki sato, jinsi anavyo endesha, mradi wake kisasa.

Ufugaji wa samaki umekuwa ukija kwa kasi, kutokana na mahitaji ya protini katika miili yetu na kufanya uhitaji wake sokoni kuwa mkubwa,na kufanya wazalishaji wa samaki kupata faida nzuri, kupitia miradi yao.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке