RUBANI MREMBO ALIYEACHA KAZI BENKI NA KWENDA KUENDESHA NDEGE "ILIKUWA NI NDOTO YANGU"

Описание к видео RUBANI MREMBO ALIYEACHA KAZI BENKI NA KWENDA KUENDESHA NDEGE "ILIKUWA NI NDOTO YANGU"

Kutana na Salha Munnar rubani wa Kike kutoka shirika la Ndege la Tanzania mwenye umri mdogo aliyeamua kuacha kazi benki na kwenda kusomea masomo ya Urubani ambayo yalikuwa ndoto yake tangu akiwa mtoto.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке